Chuo kinakaribisha maombi ya watumishi wa Umma wa Serikali wanaotaka kuhamishiwa chuoni hapo kwajili ya kujaza nafasi zilizo wazi kutokana na sababu mbalimbali kama ifuatavyo
i/ Dereva
ii/ Fundi Mchundo (artisan – mechanical)
iii/ Afisa Miliki (Esate Officer – Land Valination)
iv/Wakutubi wasaidizi na wakutubi (Librarian assistant & Librarians)
v/ Mtekinolojia wa maabara ya Afya
Jinsi ya Kutuma maombi
Waombaji wanatakiwa kuandika barua za maombi zikiambatanishwa na cv na nakala za veti vya elimu na vya taaluma kwa Makamu Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya kwaajili ya kuomba nafasi na baada ya ombi kukubaliwa watume kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Raisi Menejiment ya Utumishi na Utawala Bora kupitia waajiri wao wakionyesha pia utayari wa kujigharamia gharama za uhamisho
mwisho wa akutuma maombi ni siku 14 baada ya kutolewa tangazo hili, limetolewa tarehe 16/05/2018
Makamu Mkuu wa Chuo,
Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya,
S.L.P 131,
Mbeya
source http://www.tanzania.jobsportal-career.com/2018/05/25/nafasi-mbalimbali-za-kazi-chuo-kikuu-cha-sayansi-na-technologia-mbeya/